MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

23.10.2016: MZEE WA KANISA MAMA MWAKITALU NA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE WAKIOMBEWA SIKU YA JUMAPILI

Siku ya Jumapili 28.10.2016 wachungaji, wainjilisti, wazee wa kanisani na waumini wote waliofika katika ibada ya kushiriki meza ya Bwana waliweza kuwaombea watumishi wa Mungu, Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na Mzee wa kanisa Mama Mwakitalu

 Bishop Dr. Gertrude Rwakatare akiwa amezungukwa na wazee wa kanisa na wachungaji wakimuombea
 Mzee wa kanisa Mama Mwakitalu akiwa amezungukwa na wazee wa kanisa na wachungaji wakimuombea

Mzee wa kanisa Mama Mwakitalu na mume wake baada ya maombezi