RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ALICHOKISEMA LOWASSA LEO, MWAKA 1 BAADA YA UCHAGUZI WA RAIS


IKIWA ni mwaka mmoja tangu Watanzania walipofika kwenye vituo vy kupigia kura na kumchagua rais wanayemtaka kwa mujibu wa katiba na sheria ya nchi, aliyekuwa mgombea urais kwenye kinyang’anyiro hicho akiwakilisha UKAWA kupitia tiketi ya CHADEMA, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa ameandika maneno haya kwenye akaunti yake wa twitter.