MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

ASINTHA AMSHUKURU MUNGU NA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE KWA YOTE YALIYOMKUTA KWA KUFIWA NA MTOTO WAKE

Siku ya Jumapili 18.09.2016 Asitha aliweza kumshukuru Mungu na pia kumshukuru Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa jinsi alivyojitoa kumsaidia kipindi akiwa mjamzito na mpaka alipojifungua, lakini hakubahatika kuwa naye tena huyo mtoto aliyejifungu (alifariki dunia).

Asitha ni muumini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" na ni mmoja ya waumini wanaojitoa sana kusaidia maendeleo ya kanisa hilo. Amefanyika baraka kwa vijana wenzake na kanisa zima kwa ujumla.

Tuzidi kumuomba mtumishi wa Mungu kwa kipindi hiki kigumu anachopitia. Mungu azidi kumpa nguvu na faraja yeye pamoja na familia nzima.