RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHRISTINA SHUSHO,ANGEL BENARD,GOODLUCK GOZBERT,KRAIST KID NA BEATRICE KITAULI WACHAGULIWA KWENYE TUZO ZA XTREEM KENYA.


Waimbaji wa muziki wa injili kutoka Tanzania Christina Shusho,Angel Benard,Goodluck Gozbert,Kraist Kid na Beatrice Kitauli wamepata nafasi ya kuchaguliwa kuwania tuzo za gospo zinazofahamika kama Xtreem Awards za nchini Kenya kwa mwaka 2016.

Katika ukarasa wa facebook unaomilikiwa na waendeshaji wa tuzo hizo uliopewa jina la Xtreem Award KE kumewekwa orodha ya vipengele vyote vilivyopo katika kinyang’anyiro hicho huku waimbaji wa Tanzania wakiwa katika vipengele tofauti tofauti kama inavyoonekana chini.

AA TEENIZ AFRICAN ACTS
1 AA1 BAHATI – KENYA
2 AA2 CHRISTINA SHUSHO – TANZANIA
3 AA3 NATHANIAL BASSEY – NIGERIA
4 AA4 EXODUS – UGANDA
5 AA5 LEXKISS – MALAWI
6 AA6 COOPY BLY – UGANDA
7 AA7 VICKY NILAKAZI – SOUTH AFRICA
AO TEENIZ NEW ARTIST (FEMALE)
1 AO1 ANGEL BENARD
2 AO2 BELLA D
3 AO3 SHINEL WANJA
4 AO4 SHARIMA BAHATI
5 AO5 CELESTINE DESTINED
6 AO6 HELIDAH OLUOCH
7 AO7 ROBBINAH JAY
8 AO8 PASTOR PAMELA OLOO
9 AO9 SHARON SHALLY
10 DE4 SHALATA

BE TEENIZ BONGO SONG / ARTIST OF THE YEAR
1 BE1 PERMINUS NDEGWA
2 BE2 EKASI MUSIQ
3 BE3 JOSE JAY
4 BE4 SILVER KENYA
5 BE5 BARNABUS MUINDI
6 BE6 ROY LWANGA
7 BE7 GOODLUCK GOZBERT
8 BE8 DAR MJOMBA
10 BE10 JULLY MWANAKOCHI
11 DF3 ROYALKID SIFA

D. INTERNATIONAL CATEGORIES
DA TEENIZ EAST AFRICA – TANZANIA SONG / ARTIST OF THE YEAR
1 SIMON SIMONS
2 KRAIST KID
3 BEATRICE KITAULI
4 KIHAYILE GROUP