MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

KIZZA BESIGYE AZUIWA KUTOKA NJE YA NYUMBA YAKE

Kizza Besigye akizungumza na ofisa wa polisi.

KAMPALA: Mwanasiasa wa siku nyingi nchini Uganda, Kizza Besigye leo amezuiliwa na polisi wa Kayihura kutoka nje ya nyumba yake. …Baada ya kushuka garini.

Polisi hao wamemweleza mwanasiasa huyo kwamba wamepewa amri kutoka juu kwamba haruhusiwi kutoka nje ya nyumba yake.

…Polisi wakiwa wameweka kizuizi.

Kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa Twitter mwanasiasa huyo ameandika:

“ Happening just now, Kayihura Police officers say their orders are not to allow me out of my home at all- period! Impunity at its highest.”