Select Menu

News

KUSHIKWA MKONO

KUSHIKWA MKONO

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

JIFUNZE KIFARANSA

JIFUNZE KIFARANSA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AMWANDALIA DHIFA YA TAIFA RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO ( DRC ) JOSEPH KABILA


Sanga Rulea 1:08 AM 0Rais John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar.


Kabila akimwamkia rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi Ikulu katika dhifa ya taifa.
…Akimsalimia Mama Sitti Mwinyi, mke wa Ali Hassan Mwinyi.
…Akisalimiana na spika mstaafu Anne Makinda .

…Akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Ali Maulid.
Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya taifa.
Kuoka kushoto ni rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Ali Maulid na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi.
Sehemu ya wageni waalikwa.
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete, Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga na Waziri wa Mambo ya Nje wa DRC, Raymond Tshibanda 
Wakuu wa vyombo vya ulinzi wa Tanzania na DRC.
Baadhi ya wakuu wa vyombo vya ulinzi.
Cecilia Kabila (kulia), mdogo wake Rais Kabila wa DRC alikuwepo.
Baadhi ya waalikwa .
Sehemu nyingineya waalikwa.
Meza kuu ikiwa na Rais Magufuli, mgeni wake Kabila , Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli.
Rais Magufuli akiwa na mgeni Kabila na Samia Suluhu Hassan
Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji
Bakhressa na Dewji wakiwa na wenzao wa DRC na Tanzania.
Msanii mkongwe Zahir Ally Zorro alikuwepo kutoa burudani.
Rais Magufuli akihutubia.
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimsikiliza Magufuli. 
Sehemu ya wadau mbalimbali wakimsikiliza Rais Magufuli 
Mkalimani Mussa Lulandala akiwa kazini.
Wageni wakifuatilia hotuba ya Magufuli. 
Mama Magufuli akigonganisha glasi na Kabila.
Glasi zikigongwanishwa baada ya hotuba ya Magufuli. 
Meza kuu ikisimama wakati wimbo wa Taifa wa DRC ukipibgwa. 
Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akimtakia heri mwenyeji wake Magufuli.
Rais Kabila akigonganisha na Magufuli.
…Akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli.
…Akigonganisha glasi na Samia Suluhu Hassan.
Mama Janeth Magufuli akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa “Nani kama Mama”.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA Eng. Deusdedit Kakoko akimtuza Christian Bella.
Mama Salma Kikweteb akimtuza mwanamuziki Bella.
Ngoma ya Msewe ikichezwa na kundi la utamaduni la JKT.
Rais Magufuli na Kabila wakitumbuizwa na kikundi cha Brass Band cha Mount Usambara chini ya Mzee Hoza.
Rais Magufuli akionesha umahiri wake wa kupiga ngoma mbele ya Jakaya Mrisho Kikwete.
PICHA NA IKULU

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS