MATUKIO KATIKA PICHA YA MKUTANO WA INJILI GANGILONGA IRINGA. NABII RICHARD GODWIN AWASHA MOTO WA INJILI

Ikiwa ni siku ya nne ya mkutano wa injili unaoendelea mkoani Iringa, Nabii Richard kutoka Dar es salaam azidi kuwaleta watu kwa Yesu kupitia kampeni yake BIG TOUR OCTOBER ambayo inafanyika mikoa yote ya Tanzania. Mkutano huu unaoendelea utamalizika 07.10.2016 na baada ya hapo atahubiri mkoani Mbeya