RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MUSIC VIDEO: AARON KY – UMEBAKIA WEWE

Kutoka Morogoro,GospoMedia inamtambulisha kwako AARON KYUNGAY (KY),mwimbaji chipukizi wa nyimbo za Injili Tanzania na video yake mpya inayokwenda kwa jina la UMEBAKIA WEWE ,unaweza kuitazama na kutoa maoni yako pia kuisambaza kwa wengine.

Kwa ushauri na mialiko ya huduma Aaron Ky anapatikana kwa namba 0718 83 63 72.