MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

OS MUSIC VIDEO + AUDIO: BEATRICE MWAIPAJA-TUTAFIKA SALAMA
Kutoka Dar es salaam Tanzania, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunaitambulisha video mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Beatrice Mwaipaja video ya wimbo huu inaitwa TUTAFIKA SALAMA ikiwa ni wimbo unaobeba jina la album yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni. 

Wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya PG Production chini ya mikono ya producer PG na video ikiwa imefanywa na Blessing Studios chini ya director Jackso Joachim, gospomedia tunakukaribisha kuitazama video hii, na unaweza kuupakua(kuudownload) wimbo huu pia kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili wapate kubarikiwa kupitia video na audio ya wimbo huu ya TUTAFIKA SALAMA kutoka kwa mwimbaji Beatrice Mwaipaja.Kwa mawasiliano zaidi na mialiko mbalimbali na kama unahitaji kufanya kazi na mwimbaji Beatrice Mwaipaja wasiliana naye kupitia
Namba za simu/WhatsApp: +255654345737
Facebook: Beatrice Mwaipaja
Instagram: @beatrice_mwaipaja