Select Menu

News

UBUNGE

UBUNGE

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

JIFUNZE KIFARANSA

JIFUNZE KIFARANSA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » PICHA 5: MADAKTARI BINGWA KUTOKA MOI WAMEKAMILISHA UPASUAJI WA WATOTO SITA TABORA


Sanga Rulea 11:14 PM 0


Jumla ya watoto sita waliozaliwa wakiwa na vichwa vikubwa mkoani Tabora wamefanyiwa upasuaji huku wengine 30 wakipata maelekezo ya jinsi ya kukabiliana na hali hiyo bila ya kuwa mzigo kwa jamii iliyowazunguka katika awamu ya nne ya kambi tiba za GSM Foundation zinazoendeshwa kwa kushirikiana na madaktari Bingwa kutoka Taasisi ya Upasuaji na Mifupa ya Muhimbili MOI.


Idadi hii inasababisha jumla ya watoto waliotibiwa na kambi tiba hizo zilizoanza mwezi Aprili mwaka huu na kupita zaidi ya mikoa 15 kufikia watoto 196 huku kambi ikiwa bado inaelekea kuifikia mikoa mitatu zaidi ya Tanzania Bara na baad ya halo kuelekea Visiwani Zanzibar mapema mwezi Novemba mwaka huu.

Mtoto Mjema Gilbert akiwa kwenye foleni ya kambi tiba ya GSM Foundation akiwa na mama yake

Akiongea na wanahabari kabla ya kufunga kambi tiba hiyo inayotembea na madaktari Bingwa wanne, amnesie wanne na mabwana usingizi wawili, Kaimu Mkuu wa kambi tiba hiyo Dk Hamis Shaaban amesema bado kuna changamoto ya uelewa kwa wazazi wenye watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa ambapo wengi wao bado hawaamini kwamba tiba za kitabibu zinaweza kumaliza tatizo la watoto wao.

Madaktari wakiwa katika kliniki

“Wengi wao bado wanaamini kwamba tatizo hili ni la kulogwa hivyo huwaficha watoto wao kwa waganga wa kienyeji, na mpaka tunapowafikia tunakuta muda wa kuweza kuokoa afya na maisha yao kwa ujumla unakuwa umeshapita”, >>> Shaaban.

Kwa upande wake Afisa Habari wa GSM Foundation, Khalphan Kiwamba amewaomba wananchi walioa mikoa ya Kagera, Kigoma, Rukwa na Zanzibar ambako kambi tiba hiyo inaelekea kujitokeza ili kuipata fursa hiyo ambayo hakuna hakika kwamba inaweza kutokea tena katika miaka ya karibuni.

Dk Pascal Joachim akimsikiliza mzazi wa mtoto Seleman Said kabla ya kupatiwa matibabu katika kambi tiba ya GSM Foundation katika hospitali ya kitete mkoani Tabora

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS