MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA CHA BAKHRESSA FOOD PRODUCTS LTD. MKURANGA, MKOA WA PWANI LEO

Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa (kushoto) akibadilishana mawazo na maafisa waandamizi wake wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe Filberto Hassan Sanga alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa Bakhressa Food Products LTD Bw. Salim Aziz Salim.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa Bakhressa Food Products LTD Bw. Salim Aziz Salim 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na afisa mwandamizi Bakhressa Food Products LTD.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na afisa mwandamizi Bakhressa Food Products LTD.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamanda Boniventure Mushongi.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa mkoa wa pwani.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akifurahia baada ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Afisa Uhusiano wa Bakhresssa Group akitoa muhtasali wakati wa ufunguzi rasmi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa.Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa akisoma risala kwenye shere hizo.Mbunge wa Mkuranga Mhe abdallah Ulega akisema machache.Wafanyakazi na wageni waalikwa.Wafanyakazi na wageni waalikwa.Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma ripoti kuhusu viwanda na uwekezaji mkoani humo.
Mshereheshaji Charles Hilary akiwa kazini.Wafanyakazi na wageni waalikwa.Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage akiongea machache kabla ya kumkaribisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo. Wafanyakazi na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo.Wafanyakazi na wageni waalikwa. Wafanyakazi na wageni waalikwa.Wafanyakazi na wageni waalikwa.Wafanyakazi na wageni waalikwa.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo.Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akimshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo jimboni wakati akiendelea kuhutubia.Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akimshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo jimboni wakati akiendelea kuhutubia.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akaga baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akaga baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwaniRais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwaniRais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na maafisa waandamizi wa Bakhressa Group


Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wafanyakazi wa Bakhressa Food Products Ltd.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw. Charles Hilary wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Bw. Dunstan Tido Mhando. PICHA NA IKULU