RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: BAADA YA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE KUWATOA WAFUNGWA DSM, SASA NI ZAMU YA DODOMA


Ikiwa siku kadhaa zimepita tangu Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B, Dk. Getrude Lwakatare kutoa milioni 25 kwa ajili ya kuwalipia wafungwa 78 ambao walikosa fedha za kulipia faini na kufungwa jela mkoa wa Dar es salaam.  Sasa amejitolea kuwalipia faini wafungwa 50 walioko kwenye magereza mkoani DODOMA, wakiwemo wanaonyonyesha, wazee na watoto.