(VIDEO) INAUMA SANA: MSIKIE ANAVYOSIMULIA JINSI ALIVYOTOBOLEWA MACHO NA “SCORPION”

DAR ES SAALAM: Tazama jinsi kijana Saidi Ali akielezea namna alivyovamiwa na kutobolewa macho hadharani, aliyemtendea unyama huo wa kutisha ni Salum Mpepe maarufu kwa jina la Scorpion.