RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: ZITTO KABWE AKIELEZEA ALIVYOWASILISHA MUSWADA MAFUTA, GESI YA ZANZIBAR


Mbunge wa Kigoma mjini na Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amewasilisha rasmi muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya 15 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu mafuta na gesi ya Zanzibar.

Zitto akiongea na millardayo.com & Ayo TV alisema>>‘Nimewasilisha muswada wa mabadiliko ya 15 kwa ajili ya kuondoa jambo la Muungano kuhusu Mafuta na gesi kuliondoa kabisa katika katiba ya Tanzania kwasababu tayari sheria ya Mafuta na Gesi ya Tanzania bara limetamka wazi kwamba Zanzibar wanaweza wakaanza kutafuta mafuta na Gesi’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Zitto Kabwe kuhusu alivyowasilisha muswadaMafuta, Gesi ya Zanzibar