MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

WATU WAKIMPONGEZA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE KWA KITENDO CHA KUWATOA WAFUNGWA MKOANI DODOMA


Ninapenda kuwashukuru ndugu zangu na jamaa zangu ambao mumweza kunipongeza kupitia Facebook kwa kitendo nilichoamua kukifanya kwa utukufu wa Mungu kwa kuwatoa wafungwa gerezani mkoani Dodoma baada ya kuwatoa wafungwa 78 mkoani Dar es Salaam kwa kuwalipia faini ya Mil.25. Leo hii Mungu amenigusa nikaona mimi na kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" twende mkoani Dodoma kuwatoa ndugu zetu waliofungwa kwa makosa mbalimbali na wakashindwa kulipa faini. Ninyi ni ndugu zangu mlionipongeza, nami ninawashukuru sana....Comment zenu zimenibariki sana na ndio maana nikaona ni vyema nizitunze katika albam hii...
Jackson Kanyakoe: We are seriously challenged by these acts of love , Mama God bless and keep you!!


Evansi Lusekelo: Mungu ampe maisha marefu

 Joseph Adjesta:  you're so Luvly , may the Almight God bless you and you're Ministries and also give u many years like our ancestor Ibrahim and Sara in Might name of Jesus I pray Amen.
 Mungu aiinue Huduma zake zaidi.


Linda Msangi: Hongera sana Mama kwa kuwasaidia wahitaji na MUNGU wa mbinguni akupe maisha marefu na mema Moses Joshua: Mungu akukumbuke mama wa mataifa


 Mumy Emma: Mama! mama! mama yetu tuseme nini basi zaidi ya kukuombea dua zetu kwa Mungu akubariki akuzidishie mara elfu elfu


Jacob Magoda: Bwana akuinue katika viwango vya juu sana kwa moyo huo unaounyesha Inviolatha Nduye: Kiukwel tunajifunza kitu kutoka kwako mama Mungu akuinue zaidi

 Aristacus John Allay: Uishi miaka ya kutosha na umri mkamilifu,,,uendelee kumtukuza Yesu,,ubarikiwe saana
 Musa Hango: Mungu akubariki Kwa kuyatimiza maandiko "Nalikuwa kifungoni Ukaja kuniona" Hayo yote Umemfanyia Yesu. Maria Laizer: Mama Mungu akupe kuona vizazi vinne (4) vya uzao wako Mungu apigane na maadui zako ubarikiwe


Rehema Edson:  Mungu wa mbinguni na azidi kukupa mara 100 pale ulipotoa na azidi kukuinua siku hadi siku mama. Mungu na azidi kukuinua siku hadi siku na kuwa na Roho hiyo hiyo ya huruma na unyenyekevu mbele zake mama Rwakatare


Gladys John: Kazi yako ninjema, hakika wewe nikimbilio la walioonewa. Mungu anawatu anajivunia, wewe ni miongon mwao, zaburi 20:1_4Haroune Mathias Gwemela:Hakuna aliyewahi kumtumikia Mungu akabaki alivyo,mama Mimi sio muumini katika kanisa lako, ila kitendo unachofanya kuwatoa wafungwa ni kitendo ambacho kinapaswa kuigwa na kila mtumishi na nikitendo ambacho Mungu anafurahishwa nacho na sio Mungu tu kila mwanadamu, tuko wengi mama kukuombea ili Mungu azidi kukuinua juu ustawi na kanisani listawi‪Halley Komba: Hongera Sana kwa kuwatoa wafungwa dodoma MUNGU akuinue zaidi ya hapo akupe Maisha marefu wewe ni Mama shujaa, mama wa upendo Mama wewe ni kamanda MUNGU akubariki Sana


Daniel Paulo: Kiukweli mama umetumwa kwakusudi hapa Duniani' hata kama wengine hawaoni naamini hawatakufa bila kuthibitisha kua wewe umetumwa kwakusudi maalum hapa Duniani,

‪"NAOMBA NIKUITE MAMA MBEBA KUSUDI.


 Aron Julius: Ni upendo wa ajabu Mama Rwakatare amedhihirisha. Nampongeza kwa kulidhihirisha pendo la Kristo kwa vitendo katika maisha ya wafungwa hawa

 Veronica Sangura:Yesu Nakuomba Zidi Kumtumia Huyu Vile Uonavyo Yesu Wangu Nimama Watofauti Sana Love You Mama Nakupenda Sana


Mary Marroch: Mungu akutunze na familia yako yote ibarikiwe kwa jina la Yesu


 Mercy Kitundu: Ameeen kubwa mama nakufananisha na Easter,MUNGU azidi kukuinua

‪NAAM :BIBLIA INATUKUMBUSHA :ZABURI 94:16 Ni nani atakayesimama kwa ajili yangu juu ya wabaya? Ni nina atakayenisaidia juu yao wafanyao maovu? (BWANA akubariki Mama yangu).Amen


 Lincy Urio: Mama Wa Tanzania tuna kupenda sana Mungu azidi kushusha baraka zake juu yako.


Beatrice Kawaganise:Ameen mama ubarikiwe sana kwamaono yakoCONSTANTINO HAULE : NAAM :BIBLIA INATUKUMBUSHA :ZABURI 94:16 Ni nani atakayesimama kwa ajili yangu juu ya wabaya? Ni nina atakayenisaidia juu yao wafanyao maovu? (BWANA akubariki Mama yangu).Amen‬

Herald Mamchau Mamchau : Wapo wengi wenye uwezo wa nguvu na Mali ila huishia kutumia nguvu na Mali zao kumuuzi mungu ila kwa hiki ukifanyacho mama ni zaidi ya Huduma mungu anaona kila tone la nguvu na Mali zako unazozitumia juu yake hakika hatokuacha kamwe na utazidi kuinuliwa kuliko hao wanaojiita manabii

Jackson Kanyakoe: We are seriously challenged by these acts of love , Mama God bless and keep you!!‬