BANGO LA HARUSI YA DANIEL AMIR SANGA NA VERONICA ILIYOFANYIKA JUMAMOSI 19.11.2016 MAFINGA

Bango la kupigia picha lililotumika katika harusi ya Daniel Sanga (mtoto wa kwanza wa marehemu SHOTI - Amir Lanzon Sanga) na Veronica siku ya Jumamosi 19.11.2016 katika Kanisa la Lutherani Mafinga na sherehe ilifanyika katika ukumbi wa CF Mafinga-Iringa. Ilihudhuriwa na watu zaidi ya 600. Bango limetengezwa na Rumafrica +255 625 520 275