MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

EDSON MWASABWITE- AWASHAURI VIJANA JUU YA KUJITENGENEZEA MSINGI MZURI WA MAISHAWatu wengi hasa vijana tunapoona maisha magumu tunapenda sana kuwalaumu wazi wetu kwa kuto tutengenezea maisha au msingi mzuri wa maisha utakuta wazazi mpaka wanakufa hawajakuachia chote elimu na mali mfano viwanja, nyumba, magali nakazilika 

ingawa wengine wamepata neema hiyo wazazi wao waliona mbali waliwaandalia ulithi mzuri mpaka sasa shida wanaisoma magazetini, nakuaangalia watu wanavyoteseka kwenye matv maana wao hawaijui shida kabisa

Point yangu hapa nikwakowewe unae lalamika hujaachiwa urithi au haujapelekwa shule nakushauli nakusihi kijana, rafiki, mpendwa usifanye kosa walilo lifanya wazazi wako kwako 


watotowako 
Wasomeshe waandalie urithi wasije kukulaumu na kulia sana siku kibali chako cha kuishi dunian kikiisha waje wamshukuru Mungu kwa ajili yako Mama Baba mwema wewe uwe mwanzo wabaraka na mfano mzuri kwa watoto wako 

jiulize sahii ukiondoka watoto wako unawachia nini kama hakuna bado unakazi ya ziada kuwatafutia urith watoto wako usiseme nao watajitafutia kama ulivyo jitafutia Mungu atusaidie tulio na familia na mnao anza familia