RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

FAIDA ZA KIAFYA KWA KULA KAROTI


Watu wengi huitumia karoti kama kiungo ama kikolezeo cha mboga.
Mbali na kutumika kama kiungo cha kwenye mboga, karoti ina faida mbalimbali kwa afya ya mwanadamu.

Karoti ina uwezo wa kutibu matatizo yafuatayo ya kiafya :
i. Inalainisha tumbo
ii. Inapigana na upungufu wa damu
iii. Inasaidia kuzuia Saratani
iv. Inasaidia kutibu Baridi yabisi
v. Inasaidia Kusafisha damu
vi. Inatibu Vidonda vya tumbo
vii. Inasaidia Kutibu chunusi
viii. Inasaidia kutibu Macho
ix. Inasaidia kutibu Koo na Kibofu cha mkojo.
x. Inasaidia kulainisha na kunawirisha ngozi na kuifanya yenye afya

MATAYARISHO



Chukua karoti kilo 1, ponda au twanga iwe laini, chemsha kwa dakika 15 ndani ya maji lita 1 na nusu au 2, chuja kunywa juisi yake kwa vidonda vya tumbo au saratani ya tumbo na matumbo au saratani ya kizazi, tumia nusu kikombe cha chai miezi 3 mpaka 6. Kwa ajili ya kurembesha uso nawia juisiyakekila siku asubuhi mfululizo kwa siku 5.