RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HAIJAWAHITOKEA IFAKARA MOTO WA INJILI UMEWAKA


Christopher Mwangila akimtukuza Mungu kwenye mkutano huo 

 John Shabani akishusha moto wa sifa 


 Mamia ya watu wafunguliwa kutokana na nguvu za giza 


Mwinjilisti Jailos Maloda katika siku ya tatu ya mkutano 


Kati ya watumishi ambao Mungu anawatumia kwa kiwango kikubwa Tanzania, yupo mtu huyu wa Mungu ambaye hana papara, akizunguka nchi nzima na nje ya nchi akihubiri habari njema. 
Anaitwa mwinjilisti Jailos Maloda. Nimeshuhudia Mungu akimtumia kwa viwango vya juu sana. Wiki hii ni zamu ya Ifakara Morogoro. Namimi na rafiki yetu Christopher Mwahangila na waimbaji wengine tupo hapa tukishusha moto kupitia sifa. Asante kwa rafiki zangu na watu mbalimbali ndani na nje mlionipigia simu baada ya kuona picha hizi tukiwa hapa IFAKARA. Watu wote wa Ifakara na Maeneo ya jirani karibuni sana.