Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » JIWE LA KALE LENYE AMRI 10 ZA MUNGU LAUZWA MAREKANI.


Sanga Rulea 11:41 PM 0


Jiwe la kale zaidi lenye amri kumi za Mungu limeuzwa kwenye mnada nchini Marekani kwa dola 850,000.

Jiwe hilo ambalo lina urefu wa sentimita 60 limeandikwa kwa lugha ya kiyahudi.

Liliuzwa katika soko la mnada huko Los Angeles, kwa masharti kuwa litawekwa kwa umma kuliona.

Jiwe hilo liligunduliwa mwaka 1913, wakati wa ujenzi wa reli karibu na mji wa Yavneh ulio nchini Israel.

Wauzaji wanasema kuwa jiwe hilo ni la kutoka miaka ya 300 na 500 AD.

Amri ambayo haionekani kwenye jiwe hilo "Usitumia jina la Mungu kwa njia isiyostahili" sasa pameandikwa kwa kutoa wito kwa waumini wa Samaria wakitakiwa kujengwa kwa hekalu katika mlima Gerizim, eneo takatifu juu ya mji wa Nablus, ambayo ndio sasa Ukingo wa Magharibi.

Jamii ya Samaria ina historia ndefu eneo la Mashariki ya Kati, licha watu hao kutoweka hadi chini ya watu 1000 miaka ya hivi karibuni.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS