RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

LEMA ANYIMWA DHAMANA KWA MARA YA TATU, ARUDISHWA RUMANDEMbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) leo amerejeshwa tena rumande kwa mara nyingine baada ya kukosa dhamana kwenye kesi inyomkabili kuhusu tuhuma ya kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli.

Ombi hilo la dhamana lilikuwa la tatu tangu alipoingizwa mahabusu Novemba 3. 

Mahakama imekataa ombi la kurejea kesi hiyo na kushauri mawakili kupinga zuio la dhamana.