MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MCHUNGAJI PAULA WHITE AMBAE NI MLEZI WA KIROHO WA BW DONALD TRUMP ALISHAWAHI ONGEA HAYA ,” TRUMP ANAMPENDA SANA MUNGU”


Shauri wa kiroho wa Rais mteule Donald Trump Mchungaji Paula white alishawahi kumwongelea kiongozi huyu mpya Marekani kwamba ni mcha Mungu na ana hofu ya Mungu.Mchungaji Paula white ndiye mshauri wa kiroho wa Donald Trump , amezunguzia Imani ya Trump na mahusiano yake na Mungu.

Trump hajawahi kuwa wazi kuhusiana na imani yake japokua amekua akisema yeye ana mahusiano mazuri na Mungu na wala hafikirii kama kuna kitu cha kumfanya atubu.

Mchungaji Paula white amesema Trump ni mtu mwenye njaa sana ya kumtafuta Mungu kwa moyo wake wote kuliko vile watu wanavyofikiria