RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA GONGOLAMBOTO AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI.


Mwenyekiti Wa Serikali Ya Mtaa Wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi baada ya kuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akamatwe kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ya kughushi nyaraka za serikali. 

Malalamiko kuhusiana na kutosoma taarifa ya mapato na matumizi na kukusanya mapato kutoka kwa wananchi kinyume ana taratibu za makusanyo ya fedha za umma.

RC Makonda anaendelea na ziaraa yake ya siku 10 katika jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kero za wanachi ambapo leo amefanya ziara katika Wilaya ya Ilala.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
Mwenyekiti Wa Serikali ya Mtaa wa Gongolamboto, Bakari Shingo alipokuwa akitoa hotuba fupi kabla ya kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi


Mwenyekiti Wa Serikali ya Mtaa wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi.


Mwenyekiti Wa Serikali ya Mtaa wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi akipakizwa kwenye gari kwa hatua zaidi za kisheria