RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PICHA 10: UCHIMBAJI WA MCHANGA ULIVYOATHIRI ENEO LA MJI MWEMA KIGAMBONI DAR ES SALAAM


November 19 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameanza ziara yake ya kutembelea maeneo mbalimbali ya Dar es salaam ili kusikiliza na kujibu kero mbalimbali za wananchi. Leo RC Makonda ameanza na wilaya ya Kigamboni ambapo amefika eneo ambalo limeharibiwa kwa shughuli za uchimbaji mchanga na kokoto.

Akizungumza baada ya kuona hali ilivyo RC Makonda amepiga marufuku shughuli zozote za uchimbaji wa mchanga kwenye makazi ya watu. Kwa mujibu wa wenyeji wa eneo hilo wamesema mchanga uliokuwa unachimbwa eneo hmchanga huo

>>>’Wapo watu wengine wanajenga barabara, wanatumia haya machimbo kujenga barabara , sio vyema kukamilisha barabara ya lami halafu mkatuachia mahandaki kama haya nao ni marufuku watafute sehemu nyingine’

 

 

 


 

 

 

           

    
AUDIO: Majibu ya RC Makonda kuhusu kauli zake zilizoibua maswali