SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

CHRISTINA SHUSHO ATAMANI IDADI YA WAIMBAJI VIJANA IONGEZEKE.


Mwimbaji mkongwe wa muziki wa Injli Afrika Mashariki na kati Christina Shusho anatamani kuona idadi ya waimbaji vijana ikiongezeka ili waweze kumtumikia Mungu wakiwa bado wakiwa na nguvu zao kabla hawajazeeka au kuchoka.

Akizungumza na Sir Mbezi, alisema kuwa idadi ya vijana ikiongezeka ufalme wa Mungu utazidi kuwa na nguvu kila siku kwasababu vijana ndio wanazo nguvu za kumshinda mwovu shetani.

SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017