RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TANZIA: ALIYEKUWA MBUNGE WA MUFINDI NA WAZIRI WA ELIMU AWAMU YA TATU, JOSEPH MUNGAI AFARIKI DUNIA

Joseph Mungai enzi za uhai wake

Habari za kushtusha toka chanzo cha kuaminika Hospitali ya Muhimbili kinathibitisha aliyewahi kuwa waziri wa Elimu ndugu Joseph Mungai na Mbunge wa Mufindi amefariki dunia.!
Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.
Joseph James Mungai alizaliwa tarehe 24 Oktoba 1943