RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: MBOWE VS WAZIRI MHAGAMA BUNGENI LEO KWENYE MASWALI NA MAJIBU


Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania limeanza tena Dodoma leo November 1 2016 ambapo kwenye post hii nakukutanisha na kipindi cha maswali na majibu, swali limetoka kwa mbunge wa jimbo la Hai na Freeman Mbowe unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini.