SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

VIDEO MPYA: WALTER CHILAMBO AMEINGIA KWENYE GOSPEL, AMETULETEA ‘ASANTE’

Baada ya kutangaza kuacha bongofleva Walter Chilambo ameachia video ya wimbo wake mpya wa gospel unaoitwa ‘Asante’. Anatukaribisha kuangalia, pia usiache kuniachia comment yako juu ya wimbo huu ili Walter akisoma ajue watanzania wamepokea vipi wimbo pamoja na video hii.

Unaweza kuitazama video mpya ya Walter Chilambo ‘ASANTE’ hapa chini>>>

SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017