Select Menu

News

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » 09.12.2016: REV. ELIAS NDEDA AKIFUNDISHA KATIKA SHILOH TANZANIA 2016 SIKU YA IJUMAA NDANI YA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"


Sanga Rulea 10:47 PM 0

Rev. Elias Ndeda kutoka Afrika Kusini siku ya Ijumaa ya SHILOH Tanzania 09.12.2016 aliweza kufundisha na kuhubiri juu ya watu kuondokana na umaskini. Alisema anakerwa sana anapoona watu waliokoka wanakuwa na maisha magumu wakati wao ndio walitakiwa kutawala kila kitu hapa duniani. Kingine alichowasisitiza watu ni kufanya kazi kwa bidii na kuachana na uvivu kwani uvivu ni chanzo cha umaskini. Rev. Ndeda alisistiza watu kumtumikia Mungu kwa Roho ya kweli na sio nusu nusu kwani kwa kufanya hivyo Mungu ataachilia mafanikio katika maisha yao.

Siku ya Jumapili 11.12.2016 ambayo ni siku ya hitimisho la SHILOH Tanzania atakuwepo Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwahiyo usikose baraka za Mungu kupitia mtumishi wake kutoka Afrika kusini. Nasi tupo katika maandalizi ya kukuletea somo alilofundisha siku ya Ijumaa. Endelea kufuatilia post zetu. Ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Mungu akubariki sana...«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS