17.12.2016: PICHA ZA HARUSI YA DAVID ROBERT MWAMSOJO NA MKE WAKE NEEMA S. MAKAYA WAKIPATA CHAKULA

WAHUSIKA: Bwana Harusi: David Robert Mwamsojo na Bibi Harusi: Neema S. Makaya

UKUMBI: Coral Beach Hotel Masaki-Dar es Salaam - Tanzania.

TAREHE: 17.Desemba.2016

MUDA: Ilianza saa 10 Alasiri - Katika bustan ya Best West Hotel na saa 12 jioni hadi saa 3 usiku ndani ya Best West Hotel Masaki-Dar.

WASIMAMIZI: Mh. Godwin Gondwe na mke wake

MCHUNGAJI ALIYEFUNGISHA NDOA: Mchungaji kiongozi wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" Noah Lukumay.

PICHA HIZI ZINAHUSU: David Robert Mwamsojo na make wake Neema S. Makaya pamoja na wageni waliofika wakipata chakula.

MPIGA PICHA: Rumafrica For All Nations +255 625 520 275. Tusamehe pica zilizotoka nyeusi, ulikuwa ni usiku sana na palikuwa hapana mwanga. Asanteni