25.12.2016: KWAYA YA MLIMA WA MOTO YAFANYA VIZURI KATIKA IBADA YA JUMAPILI YA KRISMASI

Asante Mungu kwa kutupa waimbaji wazuri kama hawa wanaomtumikia Mungu katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Katika sikukuu ya Krismasi walitubariki sana na wimbo wa Krismasi. Mungu azidi kuwalinda na kuwatetea kwa jina la Yesu Kristo.