TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE AKESHA KATIKA MAADALIZI YA SHILOH TANZANIA 2016 KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"Video ikionyesha maandalizi ya SHiloh Tanzania 2016 ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare aliweza kukesha madhabahuni kuhakikisha zoezi la ukarabati wa kanisa unatimia. Bishop aliweza kuondoka kanisani muda wa saa 8 usiku na kuelekea nyumbani kupumzika. Shiloh imeanza Jumapili 04.12.2016 na itahitimishwa 11.12.2016. Hizi ni siku 8 za Moto usiozimika. Ratiba ya Ibada ni kama ifuatavyo. Saa 4 asubuhi hadi saa 8 mchana ni maombezi na saa 9 mchana hadi saa 12 jioni ni Ibada ya SHILOH