Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » MAAMUZI YA BARAZA LA UCHAGUZI MAREKANI JUU YA URAIS WA DONALD TRUMP


Sanga Rulea 3:58 AM 0
Baada ya kuwepo taarifa za kwamba huenda ushindi wa Rais mteule wa MarekaniDonald Trump ungetenguliwa, hatimaye wajumbe wa Baraza la Uchaguzi la Marekani, (Electoral College) limepiga kura na kutoa tamko rasmi kuwa ushindi wa mwanachama huyo wa Republican ni halali.

Donald Trump na atakayekuwa makamu wake Mike Pence wameidhinishwa na baraza hilo kwa ushindi wa kura zaidi ya 270 ikiwa ni wiki sita baada ya kupita uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo November 8, 2016 japokuwa kwenye upande wa kura za wananchi wa kawaida bado Hillary Clinton ameendelea kuongoza baada ya kuongeza kura zaidi ya milioni 3 baada ya matokeo kutangazwa.

Kupitia kurasa zao za Twitter, Donald Trump na makamu wake Mike Pence wameonesha furaha yao baada ya kuthibitishwa kwa ushindi wao.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS