SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

01.01.2017: BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE APAKA MAFUTA YA UPAKO MAELFU YA WATU WALIOFIKA KATIKA MKESHA WA CROSSOVER 2016 KUKARIBISHA MWAKA 2017

Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku usiku wa Jumapili 01.01.2017 aliweza kuwapaka mafuta ya upako waumini waliofika katika mkesha wa CrossOver wakukaribisha mwaka 2017. Zoezi hili lilifanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" ambapo maelfu ya watu waliofika waliweza kupakwa mafuta.

SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017