SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

08.01.2017: KAMATI YA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" YAMUANDALIA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE KEKI NA ZAWADI MBALIMBALI KWA KUFIKIA SIKU YAKE YA KUZALIWA 31.12.2016


Kamati ya Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" iliweza kumfanyia sherehe Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwaajili ya siku yake ya kuzaliwa (Birthday) ambayo hufanyika kila tarehe 31. Jan, lakini mwaka huu ilifanyika Jumapili 08.01.2017 kutokana na ratiba ya ibada ya mkesha wa mwaka mpya 2017 kuwa "tight" sana.
Kamati iliweza kutoa zawadi mbalimbali za kumpogeza kufikia siku yake ya kuzaliwa na pia waliweza kumuombea.
nasi tuzidi kumuombea ili azidi kutulisha chakula cha Bwana kila kuitwapo leo, kwa maana amefanyika baraka sana katika maisha ya watu wengi sana.SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017