RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

31.12.2016: BW & BI. MBEYELA KUTOKA AUSTRALIA WALISALIMIA KANISA KATIKA MKESHA WA KUKARIBISHA MWAKA 2017 (CROSSOVER) KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Katika mkesha wa kukaribisha mwaka mpya 2017 (CrossOver) uliofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumamosi 31.12.2016, Mr & Mrs. Mbeyela kutoka Australia waliweza kulisalimia kanisa na kumshukuru Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa maombezi yake tangia wakiwa Tanzania mpaka sasa. Pia waliguswa sana na kitendo cha familia ya Mr. Kasembe ilivyoweza kujinyima na kutoa zawadi kwa Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kama shukukrani kwa malezi boro ya kimwili na kiroho.

Mr. & Mrs. Kasembe