RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

APOSTLE DASTAN MTOI ALISHWA SUMU

Apostle Danstan Mtoi katika facebook akaunti yake alimshukuru Mungu na manesi waliomsaidia kuokoa uhai wake baada ya kulishwa chakula chenye sumu, alisema, "Hata sasa yeye ni Ebenezer Nilikura Chakura Chenye Sumu Mahari Fulani Iripo fika Usiku Wa SAA Saba Nikazidiwa Nakimbizwa Hosp Asante Dr. Lukasi Na NES Estar kuokoa Uhai WANGU Asante YESU ntakutumikia Zaidi.". Tuzidi kumuombea ili aendelee na kazi ya Mungu.