MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

VIDEO: MAGOLI YA SIMON MSUVA YALIYOIMALIZA ZIMAMOTO JAN 4 2017, FULL TIME 2-0

January 4 2017 Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa pili wa Mapinduzi Cup 2017 dhidi ya Zimamoto katika uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar, Yanga katika mchezo huo walifanikiwa kuifunga Zimamoto goli 2-0, magoli yakifungwa na Simon Msuva dakika ya 11 na 21.