VIDEOFUPI: MTOTO (2) ALIVYOTUMIA DAKIKA 2 KUINUA KABATI ILI KUMUOKOA KAKA YAKE

Video inayomuonesha mtoto Brok Shoff, mwenye miaka miwili aliyetumia dakika mbili tu kuinua kabati lililoanguka na kumfunika kaka yake imekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya kimataifa, unaweza kuitazama hapa chini.