Select Menu

News

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KUMZIKA KAPTENI MHAIKI, SONGEA


Sanga Rulea 11:17 PM 0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mery Majaliwa wakiweka shada la maua katika kaburi la aliye kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali Kapteni Kenan Mhaiki aliyefariki tarehe 31/12/2016 na kuzikwa tarehe 4/1/2017 kijijini kwao Matogoro Mkoani Ruvuma

Waziri mkuu Kassim Majaliwa akitoa salamu za serikali katika misa ya kumuombea marehemu Kapteni Kenan Mhaiki iliyofanyika katika kanisa la Jimbo kuu Katoliki la Songea Parokia ya Mtoto Yesu Matogoro, Songea

Mjane wa Marehemu Kapteni Kenan Mhaiki akiweka shada la maua katika kaburi la mume wake
Watoto wa Marehemu Kapteni Kenan Mhaiki wakiweka Mashada ya maua katika kaburi la Baba yao

Jeneza lenye mwili wa marehemu Kapteni Kenan Mhaiki wakati wa misa ya kumuombea katika kanisa la Jimbo kuu Katoliki la Songea Parokia ya Mtoto Yesu Matogoro, Songea. Picha na Chris Mfinanga

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS