Rais mteule wa Marekani Donald Trump mwenye umri wa miaka 70, anaapishwa saa chache zilizopita Washington DC. Marekani kuwa Rais wa 45 wa Marekani akichukua kiti kinachoachwa na Barack Obama
Miongoni mwa waliohudhuria kuapishwa huko ni pamoja na Waziri wa zamani wa maliasili na utalii Tanzania Lazaro Nyalandu.
Nyalandu ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Singida Kaskazini alisema, Jimbo la Iowa hapa Marekani ni mahali nilisoma chuo miaka ya nyuma.
Nyalandu ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Singida Kaskazini alisema, Jimbo la Iowa hapa Marekani ni mahali nilisoma chuo miaka ya nyuma.