MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

29.01.2017: MCH.STANLEY NNO AONGOZA SALA YA TOBA KWA WAUMINI WAPYA WALIOAMUA KUOKOKA KWA HIARI YAO MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI

Mch. Stanley Nnko siku ya hitimisho la Semina ya Kuvikwa Nguvu Mpya za Bwana Jumapili 29.01.2017 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" aliweza kuwaongoza sala ya toba waumini wapya walioamua wenyewe binafsi kuokoka. Mch. Stanley aliwaombea na baadae walipelekwa kubatizwa kwa maji mengi, lakini siku ya Jumanne walianza masomo ya kukulia wokovu katika kanisa hilo.
Tukukaribishe na wewe Jumapili hii katika ibada zetu kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Usafiri ni bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho au Mwenge kwenye mataa, uatasikia watu wakisema kanisa kwa mama Rwakatare..