RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NABII RICHARD WA JEHOVA MERCY INT'L MINISTRY ATENDEWA MUUJIZA WA GARI JIPYA NCHINI MAREKANI

Mungu anazidi kutenda mambo makubwa kwa watumishi wa Mungu, Nabii Richard na mke wake Nabii Angel Richard nchini Marekani. Watumishi hawa wa huduma ya Jehova Int'l Mercy Ministry ni wazaliwa wa Tanzania (Dodoma) na Mungu aliwapa huduma ya kutangaza Injili na ubabii nchini Tanzania na waliweza kufungua makanisa mengi katika mikoa mbalimbali kama vile Morogoro, Dodoma, Arusha, Dar es Salaam n.k.  Pia Mungu hakuishia hapo, wakaweza kufungua huduma nyingine nchini Marekani. Mwaka 2017 waliamua kuhamia huko nchini Marekani.
Mungu amewashangaza kea kuwanunulia gari mpya wakiwa nchini Marekani kwa kipindi kifupi, na kupitia akaunti yake Facebook ya Nabii Richard aliandika hivi, "We celebrate God in everything he s doind to us.HE HAS DONE IT AGAIN
Thankyou God for the new Car BUICK......I Will save you forever my God.
Thankyou for those who bought it for Us.God will increase them."