MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

VIDEO: SERIKALI YAONGEA KILICHOSABABISHA WATANZANIA KUONDOLEWA MSUMBIJI


Ni wiki kadhaa sasa zimepita tangu sakata la Watanzania na baadhi ya wananchi wa nchi nyingine kufukuzwa Msumbiji baada ya nchi hiyo kuanza kuwatoa Wahamiaji ambao hawajafuata utaratibu wa kuingia nchini humo.

AyoTV imempata Waziri wa mambo ya nje ya nchi na ushirikiano Balozi Dr. Augustino Mahiga katueleza kila kitu kilichotokea chanzo chake na moaka sasa hali ikoje huko…. MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI