BREAKING: IKULU YASAHIHISHA TAARIFA ZA UTEUZI WA MAMA SALMA KIKWETE


Dakika kadhaa zilizopita imetoka taarifa kuhusu Rais Magufuli kumteua Mama Salma Kikwete kuwa Mbunge ambapo kwenye taarifa ya kwanza ilisema ameteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum, taarifa yenye marekebisho imesema ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio Viti Maalum.