RAIS MAGUFULI AMTEUA MAMA SALMA KIKWETE KUWA MBUNGE

Aidha Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu ametoa marekebisho ya taarifa hiyo na kusema kuwa, Rais Magufuli amemteua Mama Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na siyo Mbunge wa Viti Maalum kama ilivyoripotiwa hapo awali.