LIVE: KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI LEO APRIL 28, 2017


Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea leo April 28, 2017 mjini Dodoma likiwa ni Kikao cha Kumi na Nne katika Mkutano wa Saba wa Bunge la Kumi na Moja.

Unaweza kufuatilia hapa LIVE kwa kubonyeza play…