RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

LIVE: MASWALI YA PAPO KWA HAPO KWA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO APRIL 20, 2017


Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea leo April 20, 2017 mjini Dodoma kipindi cha maswali na majibu katika Mkutano wa Saba, Kikao cha Kumi ambapo leo ni maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu.


Bonyeza play kufuatilia LIVE hapa chini…