RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PICHA 17: Watanzania walivyopata nafasi ya kufundishwa na mtaalam wa masoko wa dunia


Leo April 27 2017 kampuni ya Mikono Speakers imefanikiwa kumleta Tanzania Victor Antonio ambaye ni mtaalam wa masoko duniani, Victor Antonio ni raia wa Marekanikwa sasa ndio anatajwa kuwa mtaalamu wa Sales namba moja duniani.

Antonio Victor ambaye amekuja Tanzania kwa mualiko wa kampuni ya Mikono Speakers leo April 27 alitoa fursa kwa kuwafundisha watu wa masoko vitu mbalimbali kuhusu sales, Victor ambaye kwa sasa ni namba moja ametoa mbinu kwa watu wa marketing wa kampuni tofauti kitu ambacho hufanya kwa mualiko maalum na ataendelea tena kesho April 28 katika ukumbu wa Julius Nyerere Posta Dar es Salaam.