Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA


Sanga Rulea 12:26 AM 0


Jumuiya ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini kupitia (TSSA) inayoundwa na Mifuko ya NSSF, PPF, LAPF, PSPF, GEPF, NHIF, WCF pamoja na ZSSF imefanya ziara ya kutembelea kiwanda cha nyama kilichopo mjini Shinyanga ambacho hakikuwahi kufanya uzalishaji tangu kibinafisishwe, lengo la Ziara hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kuona hali halisi ya kiwanda hicho ambacho kwa sasa kipo chini ya mikono ya Serikali, Mifuko hiyo kwa pamoja kupitia umoja wao wa TSSA wamedhamiria kuwekeza kwa pamoja katika sekta ya ngozi, nyama na nguo katika kiwanga hivyo. wanaonekana mbele ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Daud Msangi (wa pili kulia).
Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini kupitia Jumuiya yake ya TSSA (Tanzania Social Security Association) wakipatiwa maelezo wakati walipotembelea kiwanda cha nyama kilichopo mjini Shinyanga, ambacho hakikuwahi kufanya uzalishaji tangu kibinafisishwe. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Daud Msangi akisaini kitabu wakati walipotembelea kiwanda cha nyama kilichopo mjini Shinyanga, ambacho hakikuwahi kufanya uzalishaji tangu kibinafisishwe. Kulia ni Mratibu wa ziara hiyo kutoka TSSA, Meshack Bandawe.Wakikiangalia maeneo mbalimbali ya usindikaji Nyama.


Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini kupitia Jumuiya yake ya TSSA (Tanzania Social Security Association) wakiendelea na ziara yao katika kiwanda cha nyama kilichopo mjini Shinyanga. 
Sehemu ya Majengo ya kiwanda hicho. 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS